Hello! Mbeya Carnival ni Club ya Usiku inayopiga bao kwa sasa katika jiji la Mbeya. Club hii ya kisasa kabisa iko Eneo la Mafiati kwenye Highway ya ZAMBIA karibu na njia panda ya AIRPORT. Njoo ufurahie huduma zetu kama vile Vinywaji aina mabli mbali, vyakula aina mbali mbali, Nyama choma za aina mbali mbali,Supu na michemsho mbali mbali, Burudani ya muziki safi pamoja na Pool table.